Pages

Pages

Sunday, March 11, 2012

LULU AKANUSHA UVUMI

 Msanii mwenye mvuto wa kipekee Elizabeth Michael a.k.a Lulu ameibuka na kukanusha madai ya mvujo wa habari toka kwa rafikize wa karibu kuwa anatarajia kumpeleka mchumba wake nyumbani kwa wazazi wake ili atambulishwe.
  "Habari hizo si za kweli ni matungo ya watu tu" lulu alibonga na mwandishi wa habari hizi mwishoni wa wiki hii.
  Msanii Lulu ambae anafanya kazi ya kucheza movie hapa nchini ni moja ya wasanii ambao wana mashabiki wengi katika tasnia hii hapa Tanzania hususani watoto na vijana kati ya miaka 12 mpaka 30.

No comments:

Post a Comment