Pages

Pages

Saturday, March 10, 2012

MISS KINONDONI(HAMISSA HASSAN) ATEPETA KWA DJ CLEO

  Ukaribu wa Msanii anaetamba na kibao cha "facebook" Dj cleo na Miss kinondoni 2011 namba mbili Hamissa Hassan umezua minong'ono kati ya wadau wa tasnia hii kuona dada yetu akitoa kampani ya kupitilza toka jana msanii huyo toka Afrika ya kusini kuwasili nchini.
  Wachambuzi wa habari za kichonozi wamedai kuwa dada yetu amekuwa beneti sana kila anapoenda Dj Cleo  Hamissa nae yupo ubavuni kitu ambacho kimefanya wetu wengi kubonyezana kimyakimya.
  Aidha wadodosaji wa habari hizi wamesema kuwa pengine ni sehemu ya pekee kwa hamissa kucheza karata ya kujirainisha kiustadi kwa Super sta huyo pengine huenda nyota ya kupendwa na mzee wa facebook ikamwangukia dada yetu.
Mambo yalikuwa hivi toka Dj cleo alipoingia nchiniu,hata hivyo wadodsaji hao walisema si vibaya afanyavyo kwani riziki ya mtu iko mkononi mwa tu kama Di Cleo alivyojichora kwa tatoo mkononi inasema "play good your card"
  Tutamtafuta Hamissa kutupa undani wa jambo hili,stay tuned hommie..!!

No comments:

Post a Comment