Pages

Pages

Monday, March 19, 2012

TWANGA PEPETA ILIYVYOPAGAWISHA MANGO GALDEN KIONONDONI

Bendi ya The Africa Stars "Twanga Pepeta wazee wa kisigino" ikiongozwa na Luiza Mbutu wapili kushoto usiku wa kuamkia leo, bendi hiyo ilikuwa ikitoa burudani ndani ya ukumbi wa Mango Gardeni jijini Dar es salaam, pia bendi hiyo hivi karibuni inategemea kutambulisha Album yake mpya. Wengeni ni waimbaji wa bendi hiyo Muumin Mwinjuma kulia na kutoka kushoto ni Janet Isinika, Dogo Rama na Amigolas.
Wannenguaji wa kike wa bendi hiyo wakifanya vitu vyao katika onyesho hilo kwenye ukumbi wa Mango Kinondoni.
Wannenguaji wa kiume wa bendi hiyo wakifanya vitu vyao katika onyesho hilo kwenye ukumbi wa Mango Kinondoni.

No comments:

Post a Comment