Pages

Pages

Tuesday, April 24, 2012

JOKATE NA DIAMOND SASA MAPENZI NJE NJE

     Kile kitendawili cha nimpende nani toka kwa mwanamuziki Diamond"platnum" kimepata jibu baada ya kuziilishwa na yeye mwenyewe kuwa yuko ndani ya mahusiano na mwanadada Jokate Mwongelo.
  Diamond ameziilisha upendo wake wa wazi kwa mpenzi wake wa sasa ambae ni Jokate ambapo awali alikataa lakini jamaa kafanya kweli kwa kuweka wazi uhusiano wake na mnyange huyo.
  " No wan can take your place kate..ilove u so much my baby" hivi ndivyo Diamond alivyoandika katika ukurasa wake kupitia simu yake Blackberry messenger.


              CORPERATE INTERNET CONNECTIVITY
Surf anywhere in Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment