MISS CHANG'OMBE 2012 KUMEKUCHA..!!
Warembo wanmaotarajia kuwania umalkia wa mashindano ya Miss Chang'ombe, wakiwa katika mazoezi ya awali jana kwenye viwanja vya Hoteli ya Lamada, Dar es Salaam.
Mwalimu wa warembo hao,Vumilia Willbrod akiwaelekeza jinsi ya kusimama walipokuwa wakipiga picha ya pamoja wakati wa mazoezi hayo.
Mratibu wa mashindano hayo, Thom Chilala (kushoto), akitoa somo kwa baadhi ya warembo watakaoshiriki Miss Chang'ombe.
No comments:
Post a Comment