Pages

Pages

Wednesday, May 9, 2012

ELIZABETH PETER NDIYE MISS UKONGA 2012

 Miss Ukonga 2012 Elizabeth Peter(katikati) akitabasamu kwa hamasa muda mfupi baada ya kuvalishwa taji la kitongoji hiko,mshindi wa pili ni Marry Chizzi(kulia) na mshindi wa tatu ni Stellah Moris(kushoto)
 Warembo wakitumbuiza kwa show ya kudance ikiwa ni hatua ya awali ya ufunguzi wa shindano hilo,mwishoni wa wiki .
 Jumla ya warembo wote wamesimama mbele ya jukwaa wakisubiri maamuzi ya majaji
Hi ndiyo tanio bora ya Miss Ukonga 2012,picha zinajieleza wadau..yaliomo yamo..!!

No comments:

Post a Comment