Pages

Pages

Wednesday, May 9, 2012

MISS NYAMAGANA 2012 KUFANYIKA JUNI 2

 Shindano la Miss Nyamagana 2012/2013, linatarajiwa kufanyika usiku wa Jumamosi ya terehe 02 June 2012 katika ukumbi wa Gold Crest Jijini Mwanza. Takriban warembo 25 wamejitokeza katika shindano hilo, huku idadi ya warembo kujaza fomu za ushiriki ikiongezeka kila kukicha.
Mazoezi kwa warembo yataanza rasmi tarehe 14 June 2012 katika ukumbi wa Gold Crest Mwanza. .

No comments:

Post a Comment