GARI YA BOB MARLEY YAWEKWA KUMBUSHO
Hii ni Gari ya Bob Marley ambayo alikuwa anaitumia mpaka mauti yanamkuta, Kwa sasa Gari hiyo imepakiwa kwenye makumbusho huko Kingston Jamaica..
Huu ndo mpango mzima wa mtu mzima Bob Marley ,hii ni kiasi kiasi gani serikari ya nchi hiyo inavyojali kazi za wasanii.
No comments:
Post a Comment