Pages

Pages

Friday, May 11, 2012

MISS CHANG'OMBE 2012 KUCHUANA JUNI 9

 Mwalimu wa Warembo hao, Vulimia Willbload (kulia) akianza mafunzo kwa baadhi ya warembo hao waliofika siku ya jana kwa kuwaeleza kanuni za urembo na Heshima ya Mrembo ili kujitambua na kujiheshimu.
Hawa ni baadhi ya warembo watakaoshiriki shindano hilo, kutoka (kushoto) ni Flora Robert (19), Flora Kazungu (20), Deborah Denis (23), Miriam Ntakisivya (20) na Jesca Haule 18), wakipozi kwa picha.

No comments:

Post a Comment