Pages

Pages

Saturday, August 4, 2012

BREAKING NEWS: MSANII ROMA APATA AJALI MBAYA AKIELEKEA MOROGORO KWENYE SHOW...!

Hili ndilo eneo ambalo Roma amepatia ajali..
Roma akimwelezea police wa usalama barabarani kilichotokea mpaka kupata ajali hiyo mbaya.

Hii ndiyo hali ya gari ya Roma ilivyo baada ya kupata ajali.

 Huyu ni mmoja kati ya marafiki wa Roma aliyekuwa nae kwenye gari wakielekea Morogoro kwenye show.
Muda mchache uliopita msanii wa kizazi kipya kwenye bongo hip hop ROMA amepata ajali mbaya barabara ya Morogoro. Roma anasema alikuwa yupo kwenye mwendo wakawaida ndio tairi la mbele lilipopata pancha na ndipo gari likaacha njia yake na kwenda kugongana uso kwa uso na fuso ambalo lilikuwa upande wa pili na gari hilo dogo alilokuwa akiendesha Roma kurudi lilipotokea.
Roma ananiambia kwa sasa anaelekea Hospital kwa check up zaidi ila aliokuwa nao kwenye gari hakuna aliyeumia wote ni wazima.

No comments:

Post a Comment