Pages

Pages

Monday, September 3, 2012

ANGALIA DAKIKA 20 KABLA UMAUTI HUJA MKUTA MWANDISHI WA CHANEL 10, IRINGA!!

                                Daud Mwangosi kulia enzi za uhai dakika 20 kabla ya kuuwawa kwake

         Nahilo ndo kundi la maaskiri wenye silaa walio kuja kuwatawanya waandamanaji wa chama cha Chadema wasio kuwa hata nasilaa..

Hapa polisi wakiwataka wafuasi wa Chadema kutawanyika eneo la tukio ofisi za Chadema Nyololo Mufindi..
 Nahapo sasa ndipo vurugu za kuwatawatawanya waandamaji hao wa Chadema kwa kutumia silaa..
             NAOMBA SASA NIONYESHE PICHA ZA MWILI WA DAUDI MWANGOSI KABLA NA BAADA YA UMAUTI.


Hapo ukiangalia vizuri utaona askari akimwelekezea mtutu tumboni na kumsambaratisha marehemu. Ni wazi watu wa Iringa wanamfahamu askari huyu.
               Nahuo na nwili wa Ndugu yetu Daudi baada ya askari kuusambaratisha

      Marehemu kafa akipigania haki za wanahabari, ni wakati wa wanahabari kushirikiana       vinginevyo wanasiasa wataendelea kutumia vibaya vyombo vya dola dhidi yetu..

No comments:

Post a Comment