Pages

Pages

Wednesday, September 12, 2012

TATOO YA RIHANNA CHINI YA MATITI YALETA GUMZO

 
Mwanamuziki Rihaana ameaacha midomo wazi wadau wa mambo ya nyuma ya pazia baada ya kuonyesha picha inaonyesha Tatoo(mchoro wa mwilini) chini ya matiti yake.
 Hii ni kumjibu Chriss Brown  pale alipojichora kifuani hvi punde .tatoo hiyo yenye  mabawa huku picha ya mwanamke akiwa katikati ambapo wengine wameitafsiri kwa maana nyinginne ya kidini ambayo inasadikiwa kumwabudu shetani.

No comments:

Post a Comment