Pages

Pages

Thursday, October 4, 2012

MISS TANZANIA WAKIWA GIRAFFE OCEAN VIEW HOTEL

 Warembo wanaoshiriki shindano la Redds Miss Tanzania 2012 wakiwa katika picha yao ya pamoja mapema leo  Oktoba 4, 2012 katika Kambi yao iliyopo Hoteli ya Kitalii ya Giraffe Ocean View iliyopo Mbezi Beach  nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam. Warembo hao ambao watapanda jukwaani Novemba 3 kuwania taji la Miss Tanzania 2012 wanataraji kufanya ziara ya kuhamasisha Utalii wa ndani kwa Kutembelea Vivutio kadhaa vya Utalii katika Mikoa ya Kanda ya Kaskazini ya Moshi, Arusha na Manyara Jumamosi  hii.
Warembo wakiwa katika pozi mbalimbali. Warembo hao ambao watapanda jukwaani Novemba 3 kuwania taji la Miss Tanzania 2012 wanataraji kufanya ziara ya kuhamasisha Utalii wa ndani kwa Kutembelea Vivutio kadhaa vya Utalii katika Mikoa ya Kanda ya Kaskazini ya Moshi, Arusha na Manyara Jumamosi  hii.

 
Washiriki hao wanaendelea vyema na kambi yao ya maandalizi chini ya Mwalimu Irine Karugama mshiriki wa shindano la Miss Tanzania 2011. Mpenzi wa Sanaa ya Urembo nchini Tanzania

No comments:

Post a Comment