Pages

Pages

Thursday, October 25, 2012

PENZI LA DIAMOND NA NAJMA LAGEUKA MAIGIZO

 Msanii bongoflava aliyewahi kuwa mpenzi wa Mr Blue, Najma ni wapenzi na Diamond tetesi hizo zilipamba moto baada ya kuonekana kwa picha za birthday za Diamond ambapo Najma alikuwa miongoni mwa waalikwa.
 Hata hivyo kwa mujibu wa meneja wa Najma ambaye kwa muda mrefu alikuwa nchini Uingereza kimasomo, mastaa hao wako karibu kikazi zaidi tu na hakuna kingine kwa mujibu maelezo ya meneja wa najma.
“Mimi niliamua Najma afanye nyimbo na Diamond nikamuomba Diamod,Diamond akakubali kwahiyo tuna project na Diamond all time tunakuwa na Diamond kwasababu ni project ambayo tunataka kufanya nae, lakini this time as a friend lakini si kama wapenzi,” Nasra alisisitiza. 
“I think watu wamekuwa confused kwasababu kila tukiwa na Diamond picha tunaweka BBM so wanakuwa wanapata ile confusion ,sasa ni kazi kama kazi nyingine kama watu wanavyofanya na watu wengine.”

No comments:

Post a Comment