Pages

Pages

Wednesday, October 24, 2012

PICHA ZA RAYUU ZAVUJA MTANDAONI...YADAIWA ANASAKA UMAARUFU KWA NGUVU


 
 Baada ya wiki kadhaa kupita picha za msanii Rayuu zilizokuwa zinaonesha tattoo kuvuja mitandaoni, safari hi hali imekuwa mhamasiko zaidi kwani picha nyingine zinazoonesha matiti yake zimenaswa na baadhi ya mitandao inayodili na habari za mastaa na mwenyewe alipotafutwa kuelezea alibaki mdomo wazi na hajui ni mtu gani anayezisamabaza.
 Rayuu amedai kuwa hajui lolote kwani picha hizo zipo kwenye simu yake iliyopotea na hajua ni nani anayezisambaza ingawa aanaamini kuwa anayefanya hivyo ana nia mbaya ya kumchafua.

Msanii huyo anafanya vizuri kwenye tasnia ya filamu ni msanii ambaye hajawahi kukumbwa na matukio kama haya awali.
“Jamani mimi sieliwi hizo picha zinatoka kwa nani, najua ndiyo kwenye simu yangu nilikuwa na picha hizo na baada ya kupotea sijui nani anayefanya upuuzi huo, nilipiga hizo picha kwa upendo wangu lakini sikuwa na maana zitoke na kusambaa mitandaoni,” alisema kwa hasira.

 Wachambuzi wa habari za mastaa wanasema hii ni janja ya nyani kula indi bichi,Rayuu anatumia fulsa hii kujipatia umaarufu mkubwa kama ilivyokuwa enzi za kutoka kwa Lulu.

No comments:

Post a Comment