Pages

Pages

Sunday, November 4, 2012

BRIDGIT ALFRED ATWAA TAJI LA MISS TANZANIA 2012



BRIGITER ALFRED Miss Tanzania 2012

Brigitte Alfred akipunga mkono kwa furaha mara baada ya kutangazwa kuwa ndie mshindi na kuwabwaga washiriki wenzake 29.

Brigitte Alfred (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Miss Tanzania 2011, Salha Izrael

WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA MSHINDI WA PILI EREDDS MISS TANZANIA 2012, BRIDGIT ALFRED (KATIUGENE FABIAN NA MSHINDI WA TATU EDA SYLVESTA (KULIA). 

No comments:

Post a Comment