Dr. CHARLES BEKON NA MORIS @ MISS TANZANIA DAY
Mkurugenzi wa Hoteli yenye hadhi ya nyota nne giraffe ocean view hotel akiwa na Moris ambae ni rafiki wa mwanae brian(masomoni UK),ilikuwani jana usiku katika ukumbi wa blue pearl wakati wa kumsaka mnyange wa miss
Tanzania 2012 ambapo Giraffe ni mdhamini rasmi wa shindano hilo.
No comments:
Post a Comment