Pages

Pages

Sunday, November 11, 2012

RAIS OBAMA ALIWAHI KUBEBA VIROBA

 Rais wa Taifa kubwa lenye nguvu duniani(USA) Barak Obama enzi za ujana wake wakati hajui siku moja atakuwa rais wa dunia,ama kweli jambo usilolijua ni kama usiku wa giza,
 Obama huyu aliekuwa anabeba kiroba leo ni mtu anaelindwa kuliko watu wote duniani,hata wewe waweza ni kujipanga tu yote yanawezekana tu kwa yeye atutiae nguvu.

No comments:

Post a Comment