Pages

Pages

Sunday, December 16, 2012

MTOKO DESIGNS KUVALISHA UNIQUE MODELS

Tunakushukuru Salm Ali kwa sapoti yako kupitia Mtoko Designs anawavalisha unique models 5 katika vazi la casual wear ,pia atavalisha models wawili katika vazi la Ubunifu.
Tunakushukuru sana Salim kwa sapoti yako maana umeonyesha ushirikiano wa dhati ukizingatia ni kijan ambae unajituma sana kuhakikisha unakuwa mbunifu mahili nchini.

No comments:

Post a Comment