Pages

Pages

Sunday, December 16, 2012

PAKA WEAR KUVALISHA UNIQUE MODELS WAWILI SIKU YA FAINALI

 Mbunifu mahili Gymkhana maarufu kama Paka Wear amethibisha kushiriki katika swala kuwaza models wawili,ambazo ni vazi la ubunifu,vazi la ofisini na vazi la kawaida valisha Models wawili ambao watavaa mavazi yaliobuniwa na mbunifu huyo siku ya fainali desemba 28.
 Tunakushukuru Paka Wear kwa ushiriano wako wa kutoa nguo ili unique models watoke unique zaidi,tunaendelea kutambulisha wabunifu watakaovalisha models hao siku ya fainali.
  Mbunifu wa nguo ni wakati wako kujitangaza kupitia nafasi hii,nafasi ni chache models wako 12 tu wasiliana nasi 0714796622, Facebook: unique modo na Twitter: unique model

No comments:

Post a Comment