Pages

Pages

Monday, April 22, 2013

DIAMOND ALIPOCHAFUA HALI YA HEWA MAISHA CLUB KWENYE KUMTAFUTA ALIEMWAGA POMBE YA MADEE , CHEKI PICHA 22 ZA SHOW ALIYOFANYA HAPA

apenda kumshukru mwenyezi mungu...Mungu wa
rehema kwa kila jambo ambalo
mekuwa akinisimamia na kulifanikisha.....
Napenda kumshukru mungu tena
kwa siku ya jana pale Maisha Club.....kwenye uzinduzi wa
 video mpya ya Madee ya Pombe
Yangu......Nilifika kushow love and respect yangu kwake....
na  kuamua kukonga nyoyo za Mashabiki
waliojitokeza kwa wingi kuja kushuudia kichupa hicho
Balaa kilichosimamiwa
Na Adam Juma kutoka Nextlevel.....
Zifuatazo ni picha kadhaa Nilivokinukisha Ndani
ya NEW MAISHA CLUB
Na kuharibu Hali ya hewa ya mule Ndani....
Nilipowasili niliutana na My Big Bro Chid Benz nae
akiwa amekuja kuchek show...




Mariam & Esma khan walikuwepo kumpa support
 madee usiku wa Jana....pia na
dada yangu halima kimwana ayupo pichani nae alikuwepo...
Moja kwa Moja niliena backstage kuonana na madee
kupanga mpango wa kumsaka aliemwaga pombe yake

No comments:

Post a Comment