Pages

Pages

Sunday, April 21, 2013

REDD'S MISS ARUSHA CITY CENTRE 2013 WAANZA KUJIFUA KUWANIA TAJI HILO

 Warembo wa shindano la kumtafuta mshindi wa shindano la Redd's Miss Arusha City Centre wakiwa katika mazoezi ya pamoja kujiandaa na shindano lao ambapo jumla ya warembo 22 wamejitokeza kuwania taji hilo.
Warembo hao wakiwa kwenye mazoezi ya pamoja ya kudansi.

No comments:

Post a Comment