Pages

Pages

Tuesday, June 18, 2013

MOTO WAZUA KASHESHE MITAA YA KARIAKOO LEO

Moto huo uliozuka kutokana na shoti ya umememe ulisambaa ndani ya nyumba hii ambapo gari la zimamoto liliwahi katika eneo la tukio na kuanza kazi ya kuzima moto huo. Hadi sasa haijaweza kufahamika hasara iliyotokana na moto huo, uliowaka maeneo ya Kariakoo leo mchana.
Shoti ya umeme ilianzia hapa katika nguzo hizi ambapo cheche za moto ziliweza kusambaa. 
Na sufiani

No comments:

Post a Comment