Pages

Pages

Thursday, June 13, 2013

MSANII WA HIP-HOP LANGA KILEO AFARIKI DUNIA LEO



kwa habari zilizotufikia ni kwamba msanii wa hip-hop Langa Kileo amefariki dunia siku ya leo
  Chanzo cha habari kinadai kuwa Msanii huyu alikumbwa na Malaria kali sana hali iliyopelekea kukimbizwa Hospitali ya Muhimbili jana na mauti kumkumba leo.
R.I.P lANGA KILEO

No comments:

Post a Comment