Pages

Pages

Monday, June 10, 2013

TANGA BEACH RESORT YAPATA TUZO YA DHAHABU KATIKA UTOAJI HUDUMA BORA ZA KIMATAIFA NCHINI MAREKANI

New Picture (2)Rais  wa shirikisho la kiuhamasishaji wa kibiashara za hotel za kimataifa Bw. Jose Prieto akimakabidhi tuzo ya dhahabu meneja mkuu wa Tanga Beach Resort Bw Joseph Ngonyo, kama ishara ya kutambua huduma bora zenye hadhi ya kimataifa zitolewazo na hotelhiyo iliyoko jijini tanga. New Picture (3)Meneja Mkuu wa Tanga Beach Resort Bw Joseph Ngonyo akiwa mwenyefuraha mara baada ya kukabidhiwa tuzo ya dhahabu ikiashirilia huduma bora zitolewazo na Tanga Beach Resort, hafla hiyo ilifanyika hivi karibuni jijini New York Marekani. New Picture (4)Baadhi ya wawakilishi mbalimbali kutoka nchini 52 duniani wakishuhudia zoezi la utoaji wa tuzo wa utoaji wa huduma za hotel nzenye hadhi ya kimataifa, ambapo Tanzania iliwakilishwa vema na tanga beach resort, iliyoko jijini tanga. New Picture (5)
Rais wa shirikisho la biashara za hotel za kimataifa, Bw Jose Preito akimpongeza meneja mkuu wa Tanga Beach Resort Bw. Joseph Ngonyo muda mfupi baada ya kumaliza kwa hafla za utoaji wa tuzo, tanga beach resort ilijipatia tuzo ya utoaji wa huduma bora za hotel zenye hadhi ya kimataifa.
New PictureTuzo ya utoaji huduma  bora za hotel zenye hadhi ya kimataifa, iliyotolewa hivi karibuni jijini new York marekani kwa uongozi wa Tanga Beach resort

No comments:

Post a Comment