ALBUM YA JAY Z"MAGNA HOLY CARTA GRAIL" YATOKA LEO
Album ya Jay-z "Magma Carta holy Grail"imetoka leo rasmi na itakuwa bonge la ofa kwa watumiaji wa simu za sumsung galaxy kudowload album nzima bure kwa siku tatu,yaani kuazia leo mpaka kesho kutwa ambpo jay z ameingia mkataba na kasmpuni ya sumsung.
No comments:
Post a Comment