Pages

Pages

Thursday, July 4, 2013

VODACDOM YATOA TUZO ZA LIGI KUU MSIMU ULIOPITA

Mchezaji wa Azam FC, Kipre Tcheche, akionesha tuzo yake ya ufungaji bora.
Mdau wa soka, Said Tuli (kulia) akipokea hundi ya shilingi milioni  35 kwa ajili ya Simba ambayo imetwaa nafasi ya tatu.  Kushoto ni Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dk. Fenella Mukangara.
Msemaji wa Yanga, Baraka Kizuguto (kulia) akimpokelea tuzo ya uchezaji bora, mchezaji wa timu hiyo, Kevin Yondani.
Viongozi wa Yanga wakipokea mfano wa hundi ya shilingi mil. 70 baada ya kutwaa ubingwa wa ligi msimu uliopita.
Dk. Fenella Mukangara (kushoto) na Mkurugenzi wa Masoko wa Vodacom, Kelvin Twissa wakibadilishana mawazo.
Mapaparazi kazini.
Mwenyekiti wa Azam FC, Said Mohammed (kulia) akifuatilia mambo yanavyokwenda.
KAMPUNI  ya simu za mkononi ya Vodacom jana ilitoa tuzo kwa waliofanya vizuri kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara msimu uliopita kwenye hafla iliyofanyika Hoteli ya Double Tree, Masaki, jijini Dar es Salalam.

No comments:

Post a Comment