MJIUPARA WA WEMA SEPETU NDANI YA REALITY TV SHOW
Msanii mwenye vituko kila kukicha Wema Isack Sepetu ambaye hivi punde ataanza kuonekana kwenye reality Tv
show yake, amekuwa akibadilisha muonekano wake mara kadhaa sasa. Sasa hivi Wema
amepata muonekano tofauti kabisa ambao haujajulikana labda ni kwa ajili
ya uandaaji wa movie au kipindi cha TV. hahaaha hapa ni full kabichwa...haya sasa sepetuka kiivyo shabiki wake na wema.
No comments:
Post a Comment