Pages

Pages

Thursday, July 11, 2013

ZED ANTO AFIWA NA MAMA YAKE MZAZI

Msanii wabongo flava aliewahi tamba na nyimbo kama binti kiziwi na jini Zed Anto amefiwa na mama yake mzazi jana ambapo alikuwa akiugua kwa muda sasa, shughuli za mazishi zilikuwazikifanyika kigamboni.

No comments:

Post a Comment