BASI LA MERIDIAN LAPATA AJALI MBAYA
Basi la meridian lililokuwa linatoka rombo kwenda Dar limeanguka karibu
na mbwewe Bagamoyo. Siti zote ziko nje. Inasemekana kuwa kuna watu wamekufa. Basi limekatika
siti zipo njee. Dereva bado hajatolewa. Tunawapa pole
wahanga wa ajali hii!
No comments:
Post a Comment