Pages
BRAND NEW MUSIC
metty magese
Listen & Download
http://mdundo.com/a/32626
Monday, August 12, 2013
BASI LA MERIDIAN LAPATA AJALI MBAYA
Basi la meridian lililokuwa linatoka
rombo kwenda Dar limeanguka karibu na mbwewe Bagamoyo. Siti zote ziko nje. Inasemekana kuwa kuna watu wamekufa. Basi limekatika siti zipo njee. Dereva bado hajatolewa. Tunawapa pole wahanga wa ajali hii!
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
View mobile version
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment