Inawezekana
wengi wetu tukawa tunayatumia bila kujua kwamba tumekusidia kuyatumia.
Haya ni maneno au kauli ambazo mume/mke anaweza mwambia mwenza wake
kama ishara ya kumpandisha "nyege" kabla ya kuanza kufanya mapenzi.
Wawili hawa wanaweza wakawa sehemu tofauti tofauti, mfano mume yupo
kazini lakini anakaribia kurudi nyumbani, mke ukaanza "kumcharura"
mumeo kwa kauli mbali mbali aidha kupitia sms au kwa kumpigia simu,
ingawa kupitia sms ndo inasisimua zaidi!
alipo
"Jogoo" awike kidogo! nayeye hawezi kubaki kimya lazima atajibu
mashambulizi, nna uhakika itafikia point kila mtu, Udenda Utamtoka kwa
nafasi yake.......! Na kila mmoja akawa na hamu ya mapenzi na mwenzie!
Tuyatumie Maneno hayo kwa nafasi zetu! Yanahusika saaana! ADIOS!!!!
No comments:
Post a Comment