Pages

Pages

Tuesday, August 13, 2013

ORODHA YA MAJINA YA WANAOTUHUMIWA KUUZA UNGA TANZANIA HAYA HAPA

Hii ndiyo orodha iliyopewa kichwa cha habari “Wauza ‘Unga’ 250 Hawa Hapa” yenye majina 255 iliyochapishwa na Gazeti la JAMHURI Jumanne Juni 13-19, 2013 linayodai (gazeti hilo) kuwa ni ya Watanzania wanaojihusisha na biashara ya dawa

MY VIEWS: Kama orodha hii ni ya uhakika kama Gazeti la JAMHURI linavyodai (japokuwa kuna majina yanayojirudia kama #113 na #219), basi tunaona muendelezo uleule wa majina ya DAGAA badala ya PAPA ambao ndio wahusika wakuu katika biashara hii ya dawa za kulevya. Pia baada ya kuangalia majina haya, nina wasiwasi kuwa yawezekana wengi walio katika orodha hii ni watumiaji tu au wasambazaji wadogo wadogo kule mitaani. Na hapa ndipo linapokuja lile suala la “Punda wa Madawa” au “Drug Mules”!
SOURCE: Gazeti la JAMHURI

Orodha ya Wauza Madawa ya Kulevya (1) - Gazeti la Jamhuri
Orodha ya Wauza Madawa ya Kulevya (2) - Gazeti la Jamhuri
Orodha ya Wauza Madawa ya Kulevya (3) - Gazeti la Jamhuri

No comments:

Post a Comment