Pages

Pages

Wednesday, August 14, 2013

SWAHILI RADIO KUSIKIKA LIVE TOKA WASHINGTON D.C

Mkurugkenzi wa Swahili Radio Bwana Dickson Mkama (DMK) akiwa hewani wakati  wa majaribio

Mkurugenzi wa Swahili Radio Bwana Alex Kassuwi (King) akiwa hewani akifanya majaribio

Bwana DMK akiendelea na majaribio ya kipindi chake cha Entertainment

  Alex Kassuwi akiweka mitambo sawa wakati wa majaribio

 DMK akikamilisha taratibu za mwisho mwisho kuingia hewani
  Alex akifurahia baada ya mitambo kuonyesha mafanikio katika majaribio
 Wakurugenzi wa Swahili Radio Bwana Alex na DMK wakiendesha kipindi cha majaribio hewani
SWAHILI RADIO
Ni Radio iliyoanzishwa Jijini Washington DC USA na Kampuni ya "MMK MEDIA GROUP" ambao wanamiliki Swahili Radio Online,Swahili TV Online,SwahiliTV Blog, Swahili Magazine USA-AFRICA,na The Bridge Show inayoonyeshwa kwenye channel za  DCTV.
Radio hii pamoja na TV online ziko kwenye majaribio kwa sasa na zitaanza kuwa hewani kwa watu wote kusikiliza na kuangalia punde muda wa majaribio utakapomalizika.Wamiliki wa MMK MEDIA GROUP,  Alex Kassuwi, Augustino Malinda  na Dickson Mkama DMK,wote kwa pamoja wanafurahishwa na  majaribio yanavyoendelea  vizuri na kwa kingereza wanasema THEY CAN'T WAIT TO BRING TO YOU WHAT YOU HAVE BEEN WAITING FOR.

"PROGRAMS ZA RADIO KWA KUANZIA"

*BIASHARA NA UCHUMI*
* BURUDANI NA MICHEZO DUNIANI*
*MAPENZI NA MAISHA-NA AJ UBAO*
*MAISHA UGHAIBUNI*
*HABARI ZA DUNIA*
*PAMBAZUKA *
*MTAANI KULIKONI*
*THE WEEKEND SPECIAL*
*YALIYOJIRI WIKI HII*
*MUSTAKABARI*

No comments:

Post a Comment