CHRISTIAN MILLAN AVIKWA PETE YA UCHUMBA
Muimbaji Christina Milian ameonesha pete ya uchumba aliyovalishwa na
mpenziwe mpya Jas Prince, na akaliambia jarida la People kuwa "Hakika
nimezama kwenye penzi la mtu niko katika mahusiano yenye furaha sana,
mahusiano madhubuti jambo ambalo ni kubwa, na ananisapoti sana hakika
tunaangalia mbele"
No comments:
Post a Comment