Pages

Pages

Wednesday, October 2, 2013

PREZZO AOPOA DEMU MPYA WA KIBONGO


Inaonekana watoto wa kibongo watamu kweli!!! Baada ya kulipotiwa kutoka na dada zetu kadhaa wa kibongo na juzi kati kusababisha VITA kali kuliko ile ya ALSHABAB kati ya Diva na Huddah sasa hivi RAPCELLENCY EL PRESIDENTE PREZZO
aamua kutoka na mtoto wa kichaga anaejulikana kama STALLISHA TILLYA au ChaggaBarbie ambae makazi yake yapo kwa Obama..
Mapenzi hayo yanayoonekana bado mapya mapya yanachukua hatam zaidi Instagram uku baby baby zikiwa nyingi kuliko...

Watabiri wa mambo wanaosubili kuona mwisho utakuwaje maana eheheheheh shemeji yetu nae ajambo kwelikweli...

No comments:

Post a Comment