Pages

Pages

Wednesday, October 2, 2013

SISTADUU AMTEMBEZEA KICHAPO KIJANA ALIEMWANGUSHA KWENYE MAJI

clip_image002Dada akiwa amebebwa alipokuwa akivushwa kwa malipo kwenye dimbwi la maji ya mvua eneo la Magomeni Kagera, Dar es SalaamMbebaji akiwa amemwangusha dada huyo kwenye dimbwiDada akimkunja kijana aliyemdondosha kwenye dimbwi. Wasamaria wema wakimsaidia dada kumtoa kwenye dimbwiDada akilia baada ya kuokolewa.

No comments:

Post a Comment