Pages

Pages

Saturday, October 12, 2013

VIDEO YA SNURA ALIPODONDOKA KUTOKA JUKWAANI WAKATI AKIKATA MAUNO PALE NEW MAISHA CLUB

Staa wa Majanga, Snura Antony Mushi ‘Snura’ amesema kuwa  mauno  anayoyakata  katika  shoo  zake  yamemfanya  apate  maombi  mengi  toka  wanaume  hasa  waume  za  watu.
 Akiongea na mpekuzi wetu, Snura alisema kukata mauno kwenye shoo ndiyo silaha yake ya kuwateka mashabiki  hasa  wanaume  ambao  wengi  wao  wamekuwa  wakimtongoza  kwa  ahadi  ya kumnunulia  gari  na  nyumba.
VIDEO YA MAUNO 

No comments:

Post a Comment