Pages

Pages

Sunday, October 6, 2013

YALIOJILI FIESTA 2013- MOSHI

 Mwanadada aliyewahi kufanya vyema kwenye shindano la BSS,Menina akiimba kwa hisia jukwaani
Mkali mwingine wa bongofleva anaefanya vyema kwenye muziki  huo,akitambulika kwa jina la kisanii Ney wa Mitego akiwaimbisha mashabiki wake usiku huu kwenye wakati wa tamasha la serengeti fiesta likiendelea kwenye uwanja wa Majengo,mjini Moshi.
 
 Mwanadada Linah akimpagawisha shabiki wake vilivyo jukwaani usiku huu ndani ya tamasha la serengeti fiesta 2013,kwenye uwanja wa Majengo mjini  Moshi115Shilole kama kawaida
112Shilole akiwa kazini baada ya kutoa mwaliko wa kudance na shabiki 1Juma Nature na timu yake..

No comments:

Post a Comment