Pages

Pages

Friday, November 15, 2013

HUU NDIYO MJENGO WA MIRIAM ODEMBA

  Huu ndiyo mjengo wa Model wa kitanzania Miriam Odemba aliyoweka Instagram na kusema huu ndiyo Mjengo wake na anajivunia kuwa nao.
Hii ni changamoto kwa wanamitindo wanaokuja kasi kwa sasa kua mitindo ni kazi ukiwa tu na juhudi utafikia malengo chamno ni uvumilivu tu na kuchapa kazi.

No comments:

Post a Comment