Pages

Pages

Friday, November 15, 2013

KISANGA KISANGANI BLAZA; Mganga wa Diamond Platnum afunguka


Dk Kamdege kutoka Tabora ambae inasemekana amekuwa kwenye  ukaribu na mwanamuziki Diamond pamoja na Pennieh hata kabla hawaanzisha mahusiano yako. 

Katika hali isiyotarajiwa habari zilizopatikana muda mchache baada ya kuvuja kwa siri ya undugu wa Pennie na Diamond kumbe chanzo chake inadaiwa mganga mashuhuri Tanzania toka Mkoani Tabora aliyefahamika kwa jina moja Dk Kamdege ambae anahusika kwenye mahusiano hayo. 

 Mganga huyo wa kienyeji ambae amekuwa maarufu sana tangu aanze huduma huyo kutokana na watu maarufu wengi kumfuata kwa ajili ya kutatuliwa mambo yao ikiwemo mafanikio kwenye biashara, kazi, muziki, sanaa, uongozi ngzi za juu pamoja na michezo.

 Habari zaidi zilisema miezi kadhaa iliyopita mganga huyo aliwahi kujitoa kwenye vyombo vha habari akimsihi Pennie aende kwake akamtafutie dawa ili Diamond atulie kwani inamfahamu viuzri mwanamuziki huyo na anajua kitu ambacho angefanya.

 Haikupta muda bila kufahamika kama Pennie alienda kwa Dk huyo au lakini hatimae Diamond alianza kurejea kwa Pennie na mambo yalimalizika kabisa kabla ya kuzuka kwa haya ya undugu na ndio maana watu wa karibu wamesema kuwa Dk huyu anahusika kwenye mahusiano hayo ya Diamond na Pennie kwa kuwa ni watu wake wa karibu sana. 

Blog hii ilimtafuta DK huyo na alipatikana kupitia namba yake ya simu 0788-844490 na 

alianza kusema" Mimi hao vijana nawafahamu sana lakini mimi ni Dk wa Watanzania wote sio Pennie na Wema tu hapana kazi zangu zinakubarika na watanzania wote na hata nje ya nchi kwani mimi nawatolea watu mikosi wanaotaka kuwa maarufu na wenye mafanikio pia nawanyooshea njia kwa hiyo naomba msiseme mimi ni Dk wa Pennie na Diamond hata viongozi wakubwa Serikalini nawapatia baraka zangu kisha wanaenda kufanikiwa huwa sipendi kujitangaza huko kwani mimi situmii uchawi kumpa mutu mfanikio hapana hapa ni miti shamba tu inafanyakazi yake" Alisema Kamdege 

 Aidha Mganga huyo anasemekana amekuwa akitumiwa sana na baadhi ya viongozi serikalini kwa ajili ya mafanikio kupata uongozi, kupandishwa vyeo kazini, kupewa dawa ya kumuona mbaya wako kwa macho tu huku mastaa wengi wa muziki, filamu, na biashara akiwa tegemeo lao...

 Na boss Ngasa.

No comments:

Post a Comment