Pages

Pages

Saturday, May 24, 2014

BASI LA UDA LAPINDUKA JIJINI DAR



Moja ya mabasi yanayotoa huduma ya usafirishaji wa abiria ndani ya jiji la Dar es Salaam (UDA),lenye nambari za Usajili T 485 CVP limepiga mweleka katika eneo la Tabata shule, mbele ya Hoteli ya Green Light na ubavuni kabisa mwa kituo cha Polisi Tabata usiku wa kuamkia leo. Basi hilo likiwa limepiga ubavu.

No comments:

Post a Comment