Pages

Pages

Monday, May 26, 2014

ILIVYOJILI KILI MUSIC TOUR 2014 MJINI MOSHI

Wakazi wa mji wa Moshi wakifuatilia tamasha la kwanza la ‘Kilimanjaro Music Tour 2014’ lililofanyika katika Viwanja vya Chuo Shirikishi cha Ushirika na Biashara (MUCCOBs). Kilimanjaro Music Tour inadhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
Wasanii wa kundi la WEUSI toka Arusha wakiwapagawisha kwa burundani wakazi wa mji wa Moshi waliohudhuria katika uzinduzi wa tamasha la ‘Kilimanjaro Music Tour 2014’ katika Viwanja vya Chuo Shirikishi cha Ushirika na Biashara (MUCCOBs). Kilimanjaro Music Tour inadhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Young Killer akitoa burundani kwa wakazi wa mji wa Moshi waliohudhuria katika uzinduzi wa tamasha la ‘Kilimanjaro Music Tour 2014’ katika Viwanja vya Chuo Shirikishi cha Ushirika na Biashara (MUCCOBs). Kilimanjaro Music Tour inadhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Kala Jeremiah akifanya vitu vyake wakati wa tamasha la kwanza la ‘Kilimanjaro Music Tour 2014’ lililofanyika katika Viwanja vya Chuo Shirikishi cha Ushirika na Biashara (MUCCOBs). Kilimanjaro Music Tour inadhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Ney wa Mitego akitoa burudani ya aina yake wakati wa tamasha la kwanza la ‘Kilimanjaro Music Tour 2014’ lililofanyika katika Viwanja vya Chuo Shirikishi cha Ushirika na Biashara (MUCCOBs). Kilimanjaro Music Tour inadhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
Wasanii wa Muziki wa Kizazi kutoka Kundi la Jambo Squad wakitoa burundani kwa wakazi wa mji wa Moshi waliohudhuria katika tamasha la kwanza la ‘Kilimanjaro Music Tour 2014’ lililofanyika katika Viwanja vya Chuo Shirikishi cha Ushirika na Biashara (MUCCOBs). Kilimanjaro Music Tour inadhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Ommy Dimpoz akitoa burdani kali kwa wakazi wa mji wa Moshi waliohudhuria katika tamasha la kwanza la ‘Kilimanjaro Music Tour 2014’ lililofanyika katika Viwanja vya Chuo Shirikishi cha Ushirika na Biashara (MUCCOBs). Kilimanjaro Music Tour inadhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager. 

 Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Profesa Jay akiwapagawisha kwa burundani wakazi wa mji wa Moshi waliohudhuria tamasha la kwanza la ‘Kilimanjaro Music Tour 2014’ lililofanyika katika Viwanja vya Chuo Shirikishi cha Ushirika na Biashara (MUCCOBs). Kilimanjaro Music Tour inadhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
Wasanii nguli wa Muziki wa Kizazi Kipya, AY na MwanaFA wakiwapagawisha kwa burundani wakazi wa mji wa Moshi waliohudhuria tamasha la kwanza la ‘Kilimanjaro Music Tour 2014’ lililofanyika katika Viwanja vya Chuo Shirikishi cha Ushirika na Biashara (MUCCOBs). Kilimanjaro Music Tour inadhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.

No comments:

Post a Comment