Pages

Pages

Monday, May 26, 2014

RAIS KIKWETE AMTEMBELEA MAMA MZAZI WA ZITO KABWE HOSPITALINI

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Mama Mzazi wa Mbunge  wa Kigoma Kaskazini  kwa tiketi ya CHADEMA Zitto Zuberi Kabwe aliyelazwa katika wodi ya wagonjwa wenye kuhitaji uangilizi maalumu (ICU) hospitali ya AMI jijini Dar es Salaam leo.Picha na Freddy Maro-IKULU

No comments:

Post a Comment