Pages

Pages

Monday, May 26, 2014

MTOTO WA GAVANA,NIGERIA ALIEUDHURIA HARUSI YA KANYE WEST NA KIM KARDASHIAN


Huyu ni mtoto wa Kike wa Gavana wa Jimbo la OYO nchini Nigeria, nee Abiola-Ajimobi aliudhuria harusi ya Kanye na Kim iliyofanyika juzi jijini Paris Ufaransa...Haisee yuhu mtoto ni MNONO

Abisola akiwana Khloe Kardashian's bestie, Malika, Kim Kardashian's bestie, Lala Anthony siku moja kabla ya harusi

                                                      Abisola with Serena Williams

No comments:

Post a Comment