SERENGETI BREWERES YAZINDUA GAMBE MPYA "SERENGETI PLATNUM"
Wadau wakifurahia uzinduzi wa kilaji kipya cha Serengeti Platinum
katika kiota cha maraha cha Escape 1 Mikocheni Mlalakuwa jijini Dar es
salaam usiku wa kuamkia leo
Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL),Ephraim
Mafuru (kulia) akiungana na wadau kukaribisha kilaji hicho kipya
Fashifashi za uzinduzi wa kilaji kipya. Chupa hiyo ilishushwa na helikopta
Vijana wa THT wakinogesha hafla hiyo
Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL),Ephraim Mafuru
na Meneja Masoko wa Kampuni hiyo Allan Chonjo wakisherehekea ujio wa
Platinum
No comments:
Post a Comment