Pages

Pages

Thursday, May 29, 2014

UPDATES:MWILI WA MSANII RECHO WAONDOLEWA MUHIMBILI TAYARI KWENDA KUAGWA NA KUZIKWA



Mwili wa marehemu Recho aliyekuwa msanii wa bongo muvi na mwili wa mtoto wake kwa sasa unatolewa katika hospitali ya taifa muhimbili na kupelekwa nyumbani kwao Sinza, na baadaye viwanja vya leaders club kwa ajili ya kuagwa

Kwa mujibu wa mwanahabari Zamaradi Mketema ni kuwa miili hiyo ya marehemu (Recho na mwanaye itaagwa na ndugu wa karibu kwa dakika chache nyumbani kwao Sinza na kwenda viwanja vya leaders

Tukio hilo limeleta simanzi kwa ndugu jamaa na marafiki na vilio ndiyo vimetawala kwa wasanii wa bongo muvi waliofika muhimbili na kuchukua marehemu

No comments:

Post a Comment