Pages

Pages

Sunday, June 29, 2014

Aliyekuwa Mpenzi Wa D'Banj Aeleza Sababu Za Kumuacha .

Aliyekuwa Mpenzi Wa D
Mrembo wa Nigeria, Jennifer Obayuwana aliwahi kuwa mpenzi wa mwimbaji D’Banj miaka kadhaa iliyopita.
Msichana huyo amejitokeza na kueleza sababu zilizopelekea amuamcha mwimbaji huyo kuwa anapenda sana wanawake kwa hiyo alikuwa anamsaliti.
“Kwa rekodi, mimi sio mpenzi wa D’Banj kwa sasa. Ni kweli tuliwa na uhusiano wa mapenzi miaka minne iliyopita na tuliachana. Nilimuacha kwa sababu anapenda wanawake sana na msaliti wa mapenzi.”

No comments:

Post a Comment