Davido afanya wimbo na Meek Mill .
Davido ametumia nafasi ya kuhudhuria tuzo za BET kuongeza CV ya kazi
yake ya muziki na biashara ya kimataifa kwa ujumla baada ya kuingia
studio na Meek Mill na kufanya wimbo.
Davido ambaye hivi karibuni alipost picha kadhaa akiwa na Meek Mill
na Jennifer Hudson, amethibitsha collabo yake na Meek Mill kupitia
twitter.
“Studio last nite was crazy @meekmill #DWMTM” Alitweet Davido.
Akaongeza tweet nyingine:
No comments:
Post a Comment