Pages

Pages

Monday, June 2, 2014

...COSMAS CHEKA AMSHINDA KWA K,O RAUNDI 10 SUMA NINJA MOROGORO ...

Bondia Cosmas Cheka akiwa na mkanda wake baada ya kumtwanga bondia Suma Ninja kwa k,o ya raundi ya kumi jana.

Bondia Suma Ninja kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Cosmas Cheka katika ukumbi wa vijana socil hall morogoro Cheka alishinda kwa k,o ya raundi ya kumi mpambano huo.

Bondia Cosmas Cheka kushoto akioneshana umwamba na Suma Ninja wakati wa mpambano wao uliofanyika jana morogoro cheka alishinda kwa k,o ya raundi ya kumi

No comments:

Post a Comment